poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 456
- 175
Habari wakuu,
Laptop tajwa hapo juu inasumbua sana kwenye upande wa Mouse yake yaani inajibonyeza yenyewe pale ambapo unaigusa ili kwenda kubonyeza sehemu fulani uliyoikusudia.
Unapojaribu kusogeza kila inapokutana na chochote hapo kati inafungua au kufunga.
Nimejaribu ku Update drivers lakini tatizo lipo pale pale. Nikitumia mouse ya nje tatizo hilo hakuna.
Natumia Windows 10.
Mwenye kuweza kunisaidia kutatua hili ntashukuru sana.