msaada hp 530

msaada hp 530

hyle master

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
209
Reaction score
23
habar zenu wakuu na hili tatizo katika laptop aina hp 530 ina shindwa kuwaka nikichomeka charger kwenye power button kinawaka na capslock taa yake inawaka hala baada ya 30s inazima alafu inakaa kidogo inarudia tena tendo hilo nimejaribu kutoa battery na kujarbu kuwasha kwa kutumia ac adapter lakin bado tatizo palepale so kwa mwenye ujuzi na hiki kitu naomba anisaidie . ....
 
njoo tutatue tatizo boss hapa kinondoni manyanya au nichek
0716-844978
 
Back
Top Bottom