Msaada: HP 1740 [Desktop] haifungui mafaili wala kuamisha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: HP 1740 [Desktop] haifungui mafaili wala kuamisha.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by tindikalikali, Oct 3, 2012.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Wakuu naomba msaada wenu, natumia window Xp kwenye hii desktop...
  Kilichotokea...kuna mtu aliingia internet bila protection yeyote na tangu siku hiyo, siwezi kusoma documents zilizo kwenye MS word, MS excel na PPT, vile vile siwezi kuingiza kitu kutoa wala kuhamisha kwani option za kupaste na kusend hazifanyi kazi.

  Nimejaribu kurepair lakini kila nikiweka CD ile blue screen yenye option ya kurepair haiji...
  Nimejaribu pia kuweka antvirus imegoma.

  Naomba msaada wenu sababu kuformat nataka iwe last option kutokana na uzito wa documents zilizomo ndani.

  Natanguliza shukrani
   
 2. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  wakuu hamjapita hapa, bado tatizo halijatatuka
   
 3. N

  Nyasiro Verified User

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu umejaribu kufanya System Restore? inaweza kusaidia.
   
 4. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mkuu unaweza kunipa procedure za hiyo system restore?
   
 5. N

  Nyasiro Verified User

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Start--> All Programs--> Accessories--> System-->System Restore

  Sina hakika manake natumia simu. Ikifunguka hiyo system restore utafuata maelekezo ya kurudisha system yako katika tarehe ya nyuma ambayo computer yako ilikua inafanya kazi vizuri.
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  asante mkuu nitajaribu
   
Loading...