Mrimi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,691
- 641
Wakuu ninatumia Linux Mint 64bit kwenye HP yenye RAM 4GB na processor 3GHz lakini tatizo ninaloona ni kwamba PC inakuwa inaheat sana.Yaani PC inaonekana kama inafanya kazi ngumu sana hata ninapokuwa natumia katika matumizi ya kawaida kabisa kama vile kusoma.PC ni nyepesi tu na inafaperform task zote vizuri tu.
In the same PC ninatumia W7 Home Premium 64bit na inafanya kazi very smootth at Base Rate ya 4.6.Ninaipotumia ktk power saver battery inakaa hadi masaa 3 au zaidi.Hii ni tofauti nikitumia Linux hata lisaa limoja halifiki.Na to be honest sijawahi kuitumia zaidi ya saa kwa kuwa naogopa kudamage pc yangu kutokana na kuheat sana.Linux naipenda naipenda sana ila tatizo hili linanitoa jasho.
So,wakuu naombeni mnisaidie namna gani naweza kumonitor power ili kupunguza au kumaliza kabisa tatizo hili.
Natanguliza shukurani..