Msaada: Hotel ya bei ya chini Morogoro

Msaada: Hotel ya bei ya chini Morogoro

kikaniki

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
508
Reaction score
979
Wakubwa Salaam!!

Nimeitwa katika usaili Halmashauri ya wilaya ya Morogoro. Ninaomba msaada kwa anayefahamu ni hotel gani ninaweza kufikia ya bei ya Tsh 15,000/- kwa siku, mambo ya kula nitajua mbele ya safari.

Kama namba ya simu ya hotel hiyo inaweza kupatikana, nitashukuru ikiwekwa hapa ili tuweze kutoa oda ya chumba.

Asanteni
 
Nasher Hotel mkuu kwa raha zako,ukishindwa hapo Nenda pale kihonda kuna lodge kali sana.
 
Ukifika mjini mtafute dereva wa pikipiki yeyote mwambie akupeleke guest nzuri na iliyo karibu na hapo utakapotaka kufanyia shughuli zako.
 
Wakubwa Salaam!!

Nimeitwa katika usaili Halmashauri ya wilaya ya Morogoro. Ninaomba msaada kwa anayefahamu ni hotel gani ninaweza kufikia ya bei ya Tsh 15,000/- kwa siku, mambo ya kula nitajua mbele ya safari.

Kama namba ya simu ya hotel hiyo inaweza kupatikana, nitashukuru ikiwekwa hapa ili tuweze kutoa oda ya chumba.

Asanteni

Guest mkuu kwa hotel ni ngumu kupata kwa hiyo bei
 
Ukifika mjini mtafute dereva wa pikipiki yeyote mwambie akupeleke guest nzuri na iliyo karibu na hapo utakapotaka kufanyia shughuli zako.

huu ndio ushauri wa mwisho tena bodaboda wa hapo town wako poa kama vipi uwaambie wakulete aika lodge hapa..
 
Huku hatufanyi booking we ukishashuka Msamvu, kamata daladala ingia town, uliza top life bar utapata room nzur na misos hapo hapo katikati ya Mji
 
ukishuka stand(msamvu) panda daladala ya town,shuka masika then uliza guest house inaitwa ASSA ipo karibu na kona bar karibu na CRDB bank.
 
Ungesema hiyo interview unaifanyia sehemu gani ili tukuelekeze guest za bei hiyo zilizo Jirani Na sehemu utakayofanyia interview.
 
Aika NATO no lodge au shirtimr guest house usimpoteze jamaa mpaka kigurunyembe kote, interview hana kaz
 
Wakubwa Salaam!!

Nimeitwa katika usaili Halmashauri ya wilaya ya Morogoro. Ninaomba msaada kwa anayefahamu ni hotel gani ninaweza kufikia ya bei ya Tsh 15,000/- kwa siku, mambo ya kula nitajua mbele ya safari.

Kama namba ya simu ya hotel hiyo inaweza kupatikana, nitashukuru ikiwekwa hapa ili tuweze kutoa oda ya chumba.

Asanteni

Kwa bei hiyo kiongozi huwezi kuita Hotel, hiyo ni bei ya Guest house!! Hizo utapata nyingi sana mtaa wa Masika wala haina haja ya kuuliza humu. Hotel zenyewe zinaanzia 30,000/= na kuendelea.
 
Back
Top Bottom