klorokwine
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 378
- 33
Wakuu naomba mnijuze ni hotel gani nzuri naweza kwenda kuenjoy week end hii nikiwa na totoz yangu pembeni kwa dar?
Maeneo yawe kati ya Airport,Ilala,Changombe,Survey au Kinondoni .
Msaada wenu tafadhali,Kejeli staki,niko serious kidogo.

Kebbys iko mwenge bei 100 000
Weka na budget mezani..
Kwani inanini Madame B
Mie bado naitafakari ID yako tu
Budget yako plz ili iwe rahisi kukusaidia
Kwani we huoni mie mwenyewe imebidi nirudi kuiangalia.
Kwani wanaotuongoza we unaona wanakuaga timamu mda wote?
Vipi bibie, ulifikiri jina lake la kwanza linaanza na B? LOL
pusha la magogoni njoo hapa uelezee jina lako.