Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Estimate Earning 40 ni toka Ulipo Anza ila Itabadilika ikifika mia 100 na utalipwa mwezi unafuata PambanaNina hosted google adsence account (youtube only) nmefungua mwezi February 2017 kwa sasa ina Dollar 40$ (estimated earing) lakini katika Payment Threshold inasoma Dollar 0.06$.
Tatizo ni nini? naomba msaada
Asante mkuu, vpi na payment threshold kwann haibadiliki kila hela ikiongezeka maana wanasema threshold inaji'Update kila hela iingiapo kwenye account.Estimate Earning 40 ni toka Ulipo Anza ila Itabadilika ikifika mia 100 na utalipwa mwezi unafuata Pambana
Oky sawa, lakn yangu tangia mwezi march mpaka leo Payment Threshold inasoma hela ile ile $0.06 lakn youtube na adsence inaonyesha earings ni $50 sasaPesa kutoka youtube kuja kwenye adsense acc inaingia Kila Tarehe 12-13 ya mwezi
Hebu Angalia Pb Id ya Youtube na Adsense Acc ZinafananaOky sawa, lakn yangu tangia mwezi march mpaka leo Payment Threshold inasoma hela ile ile $0.06 lakn youtube na adsence inaonyesha earings ni $50 sasa
Pesa ya YouTube kuja Adsense uwa inakuwa before tarehe 15 of month.Nina hosted google adsence account (youtube only) nmefungua mwezi February 2017 kwa sasa ina Dollar 40$ (estimated earing) lakini katika Payment Threshold inasoma Dollar 0.06$.
Tatizo ni nini? naomba msaada
Ntacheck mkuuHebu Angalia Pb Id ya Youtube na Adsense Acc Zinafanana
Ntacheck cku hyo basi ikifkaPesa ya YouTube kuja Adsense uwa inakuwa before tarehe 15 of month.
Log in kwenye google adsense account yako utaona tu. balance iliyopo mpaka sasa. na ikifika $100 watakupa mpunga.
baba toka february dollar 40$???????????????????????????????????????Nina hosted google adsence account (youtube only) nmefungua mwezi February 2017 kwa sasa ina Dollar 40$ (estimated earing) lakini katika Payment Threshold inasoma Dollar 0.06$.
Tatizo ni nini? naomba msaada
ULITAKA AWE NA NGAP BOBbaba toka february dollar 40$???????????????????????????????????????
Kwa upande wa YouTube unapokuwa dashboard utaona pesa uliyo ingiza but kwenye Google Adsense account (Hosted account) uwainakuwa before 15 ndo inakuwa updatedAsante mkuu, vpi na payment threshold kwann haibadiliki kila hela ikiongezeka maana wanasema threshold inaji'Update kila hela iingiapo kwenye account.
Naomba kujua zaidi kuhusu Payment Threshold inavyoji'update ni kila baada ya mda gani?
Mkuu ndo hvyo sema na cpc, rpm etc vinachangia pia ni ndogobaba toka february dollar 40$???????????????????????????????????????
Shukran mkuu, namwambia kjana wangu kwamba smetime cpc, rpm, impression zinakuwa na effect piaKwa upande wa YouTube unapokuwa dashboard utaona pesa uliyo ingiza but kwenye Google Adsense account (Hosted account) uwainakuwa before 15 ndo inakuwa updated