Msaada: Hizi shipping cost za Alibaba bado sizielewi

Mapensho star

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
2,687
2,000
Nimeshaagiza mizigo mitandao kama ebay na aliexpress kwa mafanikio ila nikiri alibaba nimeshindwa hizi shipping gharama ni kubwa mpaka sielewi wauzaji wanafikiria nini mfano nilikuwa nataka niwe naagiza hizi pipi wanauza kwanzia box moja dolla30 ila shipping ni dolla zaidi ya 200 ila tanzania naziona hizi pipi sasa sijui wenzangu mnatumia njia gani

New Cheap Mobile Phone With Windmill Toy Candy - Buy Mobile Phone With Windmill Toy Candy,Candy Toy Windmill Mobile Phone,Candy Toys Product on Alibaba.com
ct on Alibaba.com
 
kasulamkombe

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
2,232
2,000
INGEKUWA ISSUE YA KUBANJUANA UNFEPATA WATU WENGI,NGOJA TUSUBIRI JENGO LITABOMOKA LINI KWANI ZILE NYUFA WASOMI WETU BADO WANAZIFANYIA KAZI
 
ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,899
2,000
Nimeshaagiza mizigo mitandao kama ebay na aliexpress kwa mafanikio ila nikiri alibaba nimeshindwa hizi shipping gharama ni kubwa mpaka sielewi wauzaji wanafikiria nini mfano nilikuwa nataka niwe naagiza hizi pipi wanauza kwanzia box moja dolla30 ila shipping ni dolla zaidi ya 200 ila tanzania naziona hizi pipi sasa sijui wenzangu mnatumia njia gani

New Cheap Mobile Phone With Windmill Toy Candy - Buy Mobile Phone With Windmill Toy Candy,Candy Toy Windmill Mobile Phone,Candy Toys Product on Alibaba.com
ct on Alibaba.com
Lazima iwe hivo,hapo inaonesha huo mzigo carton moja ni kilo 20
 
Mapensho star

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
2,687
2,000
Lazima iwe hivo,hapo inaonesha huo mzigo carton moja ni kilo 20
nilikuwa nahitaji hizi bidhaa sana sasa kama hivyo nikitu ambacho akiwezekani kabisa kufanyika hapo kariakoo sijui naweza nikapata mimi nipo mkoani nabanwa na kazi nikipata mtu wakuniagizia itakuwa poa
 
issawema

JF-Expert Member
May 30, 2013
776
1,000
Nimeshaagiza mizigo mitandao kama ebay na aliexpress kwa mafanikio ila nikiri alibaba nimeshindwa hizi shipping gharama ni kubwa mpaka sielewi wauzaji wanafikiria nini mfano nilikuwa nataka niwe naagiza hizi pipi wanauza kwanzia box moja dolla30 ila shipping ni dolla zaidi ya 200 ila tanzania naziona hizi pipi sasa sijui wenzangu mnatumia njia gani

New Cheap Mobile Phone With Windmill Toy Candy - Buy Mobile Phone With Windmill Toy Candy,Candy Toy Windmill Mobile Phone,Candy Toys Product on Alibaba.com
ct on Alibaba.com
sio lazma ufanye shipping na wao unawaeza ukapurchase mzigo na ukasafirishiwa na makapuni menhine ndani ya siku kumi na haizid elfu 50
 
IPILIMO

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,822
2,000
nilikuwa nahitaji hizi bidhaa sana sasa kama hivyo nikitu ambacho akiwezekani kabisa kufanyika hapo kariakoo sijui naweza nikapata mimi nipo mkoani nabanwa na kazi nikipata mtu wakuniagizia itakuwa poa
Can we partner?
 
mabwana

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
306
500
Mimi Nanunua sana Alibaba cha kufanya wewe nunua kwa kuanzia dola 2000. watakuletea kwa meli awauzi unavyataka kwa dola 30 ,niwafanya biashara wholesale na wewe unanunua kama wholesale, vinginevyo nenda aliexpress wanakuletea kwa bei hiyo
 
Mapensho star

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
2,687
2,000
Sawa lakini wanaandika min order kwanzia 1 unauziwa ngoja twende aliexpress mana kutumia dola 2000 kwa bidhaa moja nimeshindwa
Mimi Nanunua sana Alibaba cha kufanya wewe nunua kwa kuanzia dola 2000. watakuletea kwa meli awauzi unavyataka kwa dola 30 ,niwafanya biashara wholesale na wewe unanunua kama wholesale, vinginevyo nenda aliexpress wanakuletea kwa bei hiyo
 
Mapensho star

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
2,687
2,000
sio lazma ufanye shipping na wao unawaeza ukapurchase mzigo na ukasafirishiwa na makapuni menhine ndani ya siku kumi na haizid elfu 50
ni kampuni gani tutumie kaka kufanya shipping nazihitaji sana hizo bidhaa sijui dar kama zipo mimi nipo mkoani
 
Mapensho star

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
2,687
2,000
Ni vinini ivyo?

Pipi toy hizo naziona tu alibaba wa mara ya kwanza nilizani unaweza ukaagiza kwanzia box mbili kutokana na maelezo yao lakini kumbe sio wanauza jumla kontena wanasafirisha kwa meli ukitaka box tatu wanatuma kama sampo kwanza kwahiyo inabidi watumie dhl au express mzigo ufike fasta uzione ukizipenda bidhaa ndo uagize mzigo mkubwa na cost zake ni kubwa ndo mana nilikuwa nashangaa
mpaka sasa sijapata mtu anaeleta mzigo mkubwa tanzania ili niwe nafanyanae biashara
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
17,115

Tafuta kampuni iliyoko huko inayosafirisha mizigo kuja bongo, then wao watafanya delivery china. Then hiyo kampuni ndo watakuletea bongo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom