Mods nawaomba haya Maelezo muyapandishe mwanzoni mwa thread ili kuleta mtiririko mzuri wa tukio hiliNdungu yangu mmoja upande wa mama angu yupo pale voda Mama angu ndio aliniambia nikamuone kwa kisingizia me ndio nataka kaz bwana nikaenda nikachonga nae nika mueleza ukweli kwamba sio mim ni mke wangu mtarajiwa ndio anataka kazi akaniambia nitege siku flani atume cv kweli bwana mwisho wa siku akatuma cv Mungu Mkubwa aisee pamoja na juhudi za yule mother angu akapangiwa interview atabid sasa aje town kweli kafika Dar aka akafikia kwa shangazi ake kino siku ya interview akaenda pale akapass safii tuuuh yani daaah nirifurahi kupita maelezo na yeye pia baada ya miez mitatu akapanga sinza apo kilanikikutana naye kwenye maswala ya mapenzi ni ugomvi mkubwa sana uwezi amin miez 5 yote kidume nakula calendar tuuh tuuh iyo siku nilienda kwake nusu tupigana eti yupo kwenye siku zake za hatari na nilimwambia kua nitakuja kulala uko leo vurugana sana yani nilikula mateke ayoo akaniambia eti nifuate condom saa 6 usiku daah nitaenda duka gani nikaenda geto kwangu mwenge chukua ndom na kurud usiku ule ule
Kweli,ila njia sahihi na ya uhakika naona ni kupima tuNi bora kutumia condom mpaka wote mtakapo pima.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani ni waathirika?Muulize Evelyn Salt na Madame B.
Exactly, huu ni ushauri wa busara sana but vijana hatuelewagiNi bora kutumia condom mpaka wote mtakapo pima.
Sky wewe ni daktari ?kama mtumiaji ana undetectable status chance ya kuambukizwa ni ndogo sana.
... Miaka kadhaa nyuma nilukutana na changamoto kama hii : Nilikutana na mlimbwende mmoja kwenye harusi ya jamaa yangu na nikamzimikia kweli. Kila nikimsomesha wapiii, na baada ya miezi kadhaa nika give up,maisha yakasonga. Baadae nikapata mdada mwingine tunaendelea naye for some time, maybe a year, tukaachana.One day nikakutana na yule mlimbwende na surprisingly this time kum test kidogo tuu anakubali, na tukapanga kesho tufanye yalee mambo yetu. Kesho yake tukakutana, kikaanza kinywaji then tukaingia room, sasa wakati ndo tunaanza kupasha kabla ya mechi simu ikaanza kuita nikawa nachuna, yule mlimbwende anahisi nipokee kwanza labda ni muhimu, nikapokea, kumbe ni yule demu wangu tuliyeachana naye, nikataka kukata simu but akaniwahi kwamba.. '' wewe huyo uliyenaye hapo ni muathirika, na kama unafikiri ni uongo mpigie rafiki yako fulani muulize '' akakata simu!! Aisee nilipaniki hatari, mlimbwende akaniuliza vipi tena?? Nikamdanfanya kumetokea ajali na mdogo wangu yuko mahututi, mchezo ukaishia pale na akaondoka zake. Nitampigia jamaa yangu kupata uhakika, akasema ni kweli huyo ni muathirika, aisee huo mwezi ulikuwa mchungu sana kwangu... Baada ya hapo nikawa kila miezi sita napima but was found OK. Baadae, after a year or so yule mlimbwende akafariki kwa hilo tatizo.Kama umekutana na demu anayetumia hivyo mmeshiriki bila condom ,na bado masaa 72 hayajaisha ukiwa hospital utapata PEP (Post Exposure Prophylaxis) na utakuwa salama ...Asante
acheni nasikhara bhanaSky Eclat hivi vidonge ndo unamezaga?
Doctor nimekupenda njoo PM tafadhaliKama umekutana na demu anayetumia hivyo mmeshiriki bila condom ,na bado masaa 72 hayajaisha ukiwa hospital utapata PEP (Post Exposure Prophylaxis) na utakuwa salama ...Asante
Condom haiaminiki, muulize mwanaume yeyote asiye na ngoma apewe condom asex na mwanamke mkali mwenye ngoma kama atakubali. Condom ni kifarijio tu ila haiaminiki.Ni bora kutumia condom mpaka wote mtakapo pima.
Ndungu yangu mmoja upande wa mama angu yupo pale voda Mama angu ndio aliniambia nikamuone kwa kisingizia me ndio nataka kaz bwana nikaenda nikachonga nae nika mueleza ukweli kwamba sio mim ni mke wangu mtarajiwa ndio anataka kazi akaniambia nitege siku flani atume cv kweli bwana mwisho wa siku akatuma cv Mungu Mkubwa aisee pamoja na juhudi za yule mother angu akapangiwa interview atabid sasa aje town kweli kafika Dar aka akafikia kwa shangazi ake kino siku ya interview akaenda pale akapass safii tuuuh yani daaah nirifurahi kupita maelezo na yeye pia baada ya miez mitatu akapanga sinza apo kilanikikutana naye kwenye maswala ya mapenzi ni ugomvi mkubwa sana uwezi amin miez 5 yote kidume nakula calendar tuuh tuuh iyo siku nilienda kwake nusu tupigana eti yupo kwenye siku zake za hatari na nilimwambia kua nitakuja kulala uko leo vurugana sana yani nilikula mateke ayoo akaniambia eti nifuate condom saa 6 usiku daah nitaenda duka gani nikaenda geto kwangu mwenge chukua ndom na kurud usiku ule ule
Kweli nyapu tamu,ulifata ndom Mwenge?[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu mda huo kauboo kameufyata kanabaki kakibamia tu akati ndo kamekutafutia hayo yote.Unaweza kusahau jinsia yako ghafla mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nacheka kama mazuri vile...ubaya wa ngono zembe unaanza kujipima mwenyewe kama umeanza kukonda ama laah,yaani hapo hapo sijui g house chumbani mwako au machakani kabla hujaachana na huyo uliyekuwa naye unaanza kujipima kwa macho.Usikute umeleta demu afu umepiga kavu, kaenda kuoga umesearch kwa bag yake ukakutana navyo
Hapo ndipo utakapojua maana ya neno love
njiani mashine ilikuwa inamsimama simama...manin@#Kweli nyapu tamu,ulifata ndom Mwenge?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kwel.Kwani hata kama ame do nae,si pia kuna uwezekano hajaambukizwa,posibility ipo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mleta mada nadhani alikuwa anatamani visiwe vyenyewe
Halafu unapona kabisa?Vinatumika baada ya maambukizi, kwa mfano ikigundulika ulisex na demu mwenye ngoma au kupasukiwa na condom halafu ukawahi hospital wanakuanzishia dozi ya mwezi mzima.
hatariNaomba jibu kama ndio hiv au ni vya nin View attachment 489846View attachment 489847