Huu uzi umenikumbusha mbalii!!! Kiuna siku niko na bae... Tumemaliza mechi nikanyanyuka na kwenda kabatini nikameza kidonge kimoja cha cipro...
mkaka wa watu aliruka toka kitandani kama ndama, jasho lilimtoka akaja nipana mkono nimuoneshe nimemeza dawa gani, ata nilivomwambia hakuniamini mpaka akajionea mwenyewe !!!