What a courage?Kuna dada alikuwa HIV+, alikutana na boyfriend walidate kwa mwaka mzima tena walikuwa wanakwenda kavu, yule dada alikuwa na undetectable status. Sasa jamaa amefika bei siku moja amerudi kazini na engagement ring, dada kabla hajakubali ilibidi awe mkweli kuhusu hali yake. Kama kawaida jamaa alichanganyikiwa, siku ile alikwenda baa alikunywa mpaka baa inafungwa, akatafuta guest akaenda kulala, kesho yake akajiwahi kwenye kitengo huku amefunga kabisa vioo kwa mdada.
Alipata majibu kuwa hajaathirika, baada ya kupata ushauri nasaha alimwendea dada na kumwambia bado anampenda. Walifunga ndoa na kupata watoto, tena alikuwa anambusha kabisa kunywa dawa.
Pray hard..!Natamani mwanaume wangu ashushwe awe malaika asiwe mchepukaji
Ulipaswa umshukuru na umrudie muendelee kugegedana... Ni kweli, yaani siku hiyo kuna rafiki yake alituona ndo akampigia simu, kabla ya kunipigia alituma msg but nikawa sijacheki, ndo akaamua kunipigia. Niliporudi hiyo safari nikamtafuta maana pamoja na msaada wake kujilisha pia nilitaka kujua alijuaje kwamba muda ule nilikuwa na yule mlimbwende, mpaka na guest. A kaniambia kuna rafiki yake alituona na akamstua, yeye akamuomba atufuatilie mwanzo mwisho. Maisha haya...
mwaga utamu eeehNdiyo. Endelea mkuu
Hyo ya bila condon ipoje mkuuKwa lecture niliyopewa leo nimepewa tips za kuweza kufanya naye mapenzi kwa kutumia condom au bila condom hila hii ya kavu sito itumia pia jinsi ya kuishi naye adi siku atakayo gundua me najua kuwa yeye nimuathirika nimesisitiziwa sana juu ya mahusiono yetu na nimepewa adi stori ya kupiga naye kabla ya tendo daah Madoctor ni shidaah kesho naenda nae movies au beach
pole mkuuNilifanikiwa kula mzigo without those hot kiss cos alikua anakwepa nikala mzigo kibishi tuuuh mzeee mpaka mornie mwenzangu akuwa anaonyeshe kuridhika sijui sababu nilimforce sawa nikachukulia kawaida sasa zile kurupushani za usiku zile mpaka vitu vingi kuanguka chin yani vilikua shangala bagala akaenda kuoga na mim nianze kutafuta boxer yangu sijui imeanguka upande gani ndio kukutana na hizo kama nane hv zipo chin mhhh kwa sikushtuka ila nikahis kitu nikasema ngoja nichukue kimoja nikaweka kwenye mfuko leo hiyoo nikaenda muuliza mwanangu yeye kashaumwaga krb magonjwa mengi sana nikamuulize ebwana unavijua hiv babu akaniambie eti vitakua vyo kuongeza damu hiv nishatumiaga sema vidogo vyake hiv vikubwa sana kuna mwana mwingine akandandia arv hivyooo wewe nishaviona sehemu Moyo ukafanya paah aisee niliishiwa nguvu bdae akaniambia ila sina uhakika ndio mimi kuna hapa jf ila yule mwanamke ajui chochote
Dr umeweka avatar tatanishi
For sure, mr.Usijaribu tena mr. Utapotea hivvhiv
Ngoja tuje tuone hicho kifaa ulichokisifia sanaKwa lecture niliyopewa leo nimepewa tips za kuweza kufanya naye mapenzi kwa kutumia condom au bila condom hila hii ya kavu sito itumia pia jinsi ya kuishi naye adi siku atakayo gundua me najua kuwa yeye nimuathirika nimesisitiziwa sana juu ya mahusiono yetu na nimepewa adi stori ya kupiga naye kabla ya tendo daah Madoctor ni shidaah kesho naenda nae movies au beach
Si ulitumia condom vidonge vya nn??Nimepewa vidonge vitatu mzee
Si ulitumia condom vidonge vya nn??Nimepewa vidonge vitatu mzee
Bila kupepesa macho. Hivyo ni vidonge vya kupunguza makali ya virusi vya ukimwi. Vipi umeviona wapi mkuu?
Ni zenyewe
ARV vipo kama paracetamol, vyeupe. ila sijui kama zipo vya aina tofauti tofauti.
Uzoefu unawabeba. hongera zenuVipo vya aina nyingi mkuu, wanakupima kwanza kuanzia allergies na vitu vingine kabla hawajakupa dawa.
Hahaha huyu jamaa Leo kajua kutukomesha wallahhata mm aisee!!
ila kiukwel hatulali leo kama vi episode hiv vitaendelea!!
nasoma uzi na wife hapa, ameanza kuniganda tukapime!!
kwa mm labda nikapime Uzito tu ndo ntaweza, mengine hayo atapima yy akibeba mimba....
Kanuaaaa, tayari mzungu wa nne umehusika hapa
Njoo kwangu tu mpendwa, sichepuki na wewe si mchepukaji lakini.Natamani mwanaume wangu ashushwe awe malaika asiwe mchepukaji