MTAKA HABARI
Senior Member
- Jan 17, 2019
- 123
- 149
Nimenunua glucose duka la dawa ,sasa naona tarehe ya matumizi inanichanganya.najaribu kuwaeleza wahusika wao wanasema nitumie tu haina shida.nimeweka na kakielelezo hapo chini.nahitaji ushauri.
Tena mtema kuni anayetumia msumeno wa umeme na siyo panga wala shoka. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kama hawataki kukurudishia hela yako nenda ofisi ya mamlaka ya chakula kawape hiyo Kisha wapeleke kwenye Hilo duka wataona Cha mtema kuni.
Hiyo tarehe mi sijaielewa.Kwanini umenunua wakati tayari umehisi tatizo? Ila hapo chini Kuna tarehe, labda ndo manufacture date
Kama hawataki kukurudishia hela yako nenda ofisi ya mamlaka ya chakula kawape hiyo Kisha wapeleke kwenye Hilo duka wataona Cha mtema kuni.
Hii B027/03-12-2018 Mi sijaielewa.Hesabu miezi 12 Imefika au bado tangu kutengeneza kwake Hadi ulipoinunua?
Kama miezi 12 ishapita HAIFAI KWA MATUMIZI Kama bado inafaa kwa matumizi
03-12-2018Hiyo tarehe mi sijaielewa.
Unatuchosha bwana we, upo darasa la ngapi kwani?Hii B027/03-12-2018 Mi sijaielewa.
Msaada tafadhaliUnatuchosha bwana we, upo darasa la ngapi kwani?
Nilivyo elewa hiyo ni tarehe ya kutengenezwa kwake..batch no027- Tarehe 03-12-2018Hii B027/03-12-2018 Mi sijaielewa.
Kama hawataki kukurudishia hela yako nenda ofisi ya mamlaka ya chakula kawape hiyo Kisha wapeleke kwenye Hilo duka wataona Cha mtema kuni.
Asa mtema kuni atatumiaje msumeno mzeebaba na wakati yeye kazi yake ni kutema kuniTena mtema kuni anayetumia msumeno wa umeme na siyo panga wala shoka. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Asa mtema kuni atatumiaje msumeno mzeebaba na wakati yeye kazi yake ni kutema kuni
Hadithi ya mtema kuni ikoje wakuu naombeni historia kwa ufupiAna uwezo wa kucharaza hata magogo makubwa makubwa katika vipande vidogo vidogo vya kuni!
Sasa nimeanza kuuelewa huu msemoAna uwezo wa kucharaza hata magogo makubwa makubwa katika vipande vidogo vidogo vya kuni!
Zipo simulizi nyingi, moja wapo ni hii hapa kutoka kwa Mzizi wa Mbuyu :-Hadithi ya mtema kuni ikoje wakuu naombeni historia kwa ufupi