Wadau ninatumia Windows 8 kwenye HP ENVY dv4 Core i5 lakini mafaili hayo niliyoyataja yanazidi kuongezeka ukubwa hivyo kula nafasi kwenye drive C. Hiberfil.sys limefika 6GB na pagefile.sys limefika 8Gb. Naogopa kuyafuta kwani ni system files. Kwa hiyo wataalamu nauliza hivi:
1. Ni salama kuyafuta mafaili haya?
2. Kama si salama nifanye vipi yasiongezeke na kunimalizia nafasi
3. Kama ni salama nayafutaje? Normal delete?
Nasubiri majibu.
1. Ni salama kuyafuta mafaili haya?
2. Kama si salama nifanye vipi yasiongezeke na kunimalizia nafasi
3. Kama ni salama nayafutaje? Normal delete?
Nasubiri majibu.