Msaada:HGE anaweza kusomea vitu gani chuoni na kazi zipi anaweza akazifanya?

Wee unawaza ajira na HGE yako Kwa utawala wa Pombe huu ,achana na kwenda university kalime matikikiti achana na mambo ya shule ,utasoma Magufuli akitoka madarakani
 
Bachelor of arts ya hayo masomo matatu ya hiyo combination, pia kwakuwa utakua umesoma economics na bam utaweza kusoma bachelor of accounting and finance (BAF), Bachelor of accounting, finance, banking, procurement, bcom, BBA, na zingine za biashara
 
Kwa mtu aliyesoma HGE anaweza kusomea vitu gani chuoni na kazi zipi anaweza akazifanya?
Dogo mbon hueleweki???mara banking and finance mara accounting uko wap sasa???kama huna direction uspoteze muda ako kwan utaaibika chuo,,so jipange you stil hav time
 
Dogo soma combination yeyote unayohisi unaimudu. Kumbuka kuna kuzungusha kama utataka kusoma comb kwa kutaka sifa.

Chuo unaingia course yeyote except za Afya tu.
Anaweza hata kusoma engineering?
 
Kuna kozi nyingi tu. Soma Guide book ya TCU. Ila kukusaidia, baadhi ni kama hizi hapa;
I. Accounting
2. Banking and Finance
3. Economics
4. Business Administration
5. Procurement and Logistics
6. Education
7. Marketing and Public relations

Na nyinginezo nyingi tu.
Anaweza kusoma pia Insurance and risk management
 
Wakuu naomb kuuliza kuwa Nina mdog wangu kamaliza certificate ya IT mwaka huu...je, anaweza badilisha kwenda kusoma diploma ya Computer science au computer engineering...
Jaribu kuulizia kwenye vyuo unavyohitaji kujiendeleza au unaweza kucheck vigezo vyao kwa hzo kozi unazozihitaji
 
Kazi gani? Labda vibarua vya hapa na pale. Kusoma Hge haina ujuzi wowote.

Labda ukajiendeleze katika kozi mbalimbali katika taasisi za Elimu ya Juu. Kozi utakayosoma ndiyo itatoa mwanga wa kazi IPI utakayoipata.

Kwa hapo ulipo, hakuna kazi rasmi.
Acha kumdanganya bwana mdogo
 
Back
Top Bottom