tucker carlson
Member
- Oct 5, 2025
- 32
- 202
Wakuu
Nimekutana na watu wengi huko status na Instagram wanampost Jiwe wakikumbuka kifo chake.
Wengine wanamsifia wanasema sijui watamkumbuka mara sijui alikuwa ana upendo kwa taifa
Yaani mtu ambaye aliharibu hii nchi na kuwa ya kichawa, alifungia media hovyo na kutesa wapinzani hadi wakakimbia nchi ndo mnam-celebrate leo na kumuita shujaa?
Shujaa gani aliwezesha wizi wa kura na kufanya BUNGE LIWE LA CHAMA KIMOJA?
Hivi Watanzania tuna akili timamu kweli?