Huenda haina partition name tu, fanya hivi
Right click kwenye computer icon kisha click "manage" itakuletea "computer management", kwenye "computer management" click kwenye "disk management" halafu angalia kama kuna partition ya hiyo disk ambayo haionekani, kama inaoneka right click halafu click kwenye "change drive letter and paths" then click kwenye "change" na assign letter unayotaka e.g D.
Feedback please