Msaada haraka kwa mwanachadema mwenzetu anapitia mateso makubwa

Bia yetu

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
6,925
2,000
Huyu dada alipata ajali katika harakati za kumtafuta kamanda mdude alivyopotea kipindi cha nyuma

Ila bahati mbaya toka apate ajali hakuna kiongozi yeyote wa Chadema mkoani Mbeya aliyeenda hata kumpelekea sabuni ya kufulia nguo

Ana muda mrefu hajatoka ndani Kwani miguu yake yote imekatika. Tumsaidie la sivyo anaweza kukatwa miguu kama hajapatiwa huduma bora

Ushauri kwa viongozi wa Chadema Mbeya, muwajali wanachama wote hata kama sio watu maarufu, mdude mnampa wanasheria kumsimamia mahakamani Vipi huyu binti asiyekuwa maarufu ?

Vijana mjifunze kitu hapa
20200530_084105.jpeg
 

Bia yetu

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
6,925
2,000
Mkuu komba anaingiaje hapa? Mimi msamaria mwema nimeleta habari za dada wa chama kuhitaji msaada wa kimatibabu anateseka sana.

Aliumia katika shughuli za Chama Blackjew
 

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
5,461
2,000
Na huyu Dada anaonekana mfia chama kweli pamoja na maswahibu yote lkn bado kavaa jezi yake, hlf mwisho wa siku viti maalum anapewa salary slip huyu Dada wanamsahau
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
29,635
2,000
Huyu dada alipata ajali katika harakati za kumtafuta kamanda mdude alivyopotea kipindi cha nyuma
Mmmmm utapeli .Weka ushahidi wa kuwa alikuwa akimtafuta!!
Hapa umechapia

Alikuwa akimtafuta Kama Nani hawara au?
 

Bia yetu

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
6,925
2,000
Ndugu acha tu huyu dada ameteseka sana

Makamanda wamemuacha apambane peke yake. Ila muuza madawa ya kulevya amepewa wanasheria
Na huyu Dada anaonekana mfia chama kweli pamoja na maswahibu yote lkn bado kavaa jezi yake,hlf mwisho wa siku viti maalum anapewa salary slip huyu Dada wanamsahau
 

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
6,241
2,000
Mdude huyu muuza madawa ya kulevya na tester aliyekubuhu

Angekuwa mchaga John mrema angesha weka namba ya michango kwa wanachadema
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
29,635
2,000
Mbowe katika zile bilioni nane ulizokwapua si umgawie kidogo huyu binti yaani unameza zote kwa mkupuo Kama unameza panadol hugawii wenzio
 

Bia yetu

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
6,925
2,000
Hakika muuza madawa ya kulevya amepewa wanasheria wa kumsimamia ila huyu ametoswa
Mdedu huyu muuza madawa ya kulevya na tester aliyekubuhu

Angekuwa mchaga John mrema angesha weka namba ya michango kwa wanachadema
 

Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,406
2,000
Hamjaacha kuvika machangudoa yenu nguo za vyama ili kuchafua vyama pinzani!?

Onyesha kadi yake na ushahidi akiwa kwenye harakati za CHADEMA, sana sana muda si utaletewa picha akiwa kavaa uniform za ukada wa kijani hapa 😂😂😂
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom