Bia yetu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 6,923
- 8,314
Huyu dada alipata ajali katika harakati za kumtafuta kamanda mdude alivyopotea kipindi cha nyuma
Ila bahati mbaya toka apate ajali hakuna kiongozi yeyote wa Chadema mkoani Mbeya aliyeenda hata kumpelekea sabuni ya kufulia nguo
Ana muda mrefu hajatoka ndani Kwani miguu yake yote imekatika. Tumsaidie la sivyo anaweza kukatwa miguu kama hajapatiwa huduma bora
Ushauri kwa viongozi wa Chadema Mbeya, muwajali wanachama wote hata kama sio watu maarufu, mdude mnampa wanasheria kumsimamia mahakamani Vipi huyu binti asiyekuwa maarufu ?
Vijana mjifunze kitu hapa