Msaada haraka kwa mwanachadema mwenzetu anapitia mateso makubwa

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
6,402
2,000
Na huyu Dada anaonekana mfia chama kweli pamoja na maswahibu yote lkn bado kavaa jezi yake,hlf mwisho wa siku viti maalum anapewa salary slip huyu Dada wanamsahau
Ndio mjue kwamba Chadema ni chama cha wahuni. Akipata tatizo yule tajiri wanachangisha haraka haraka ndani ya siku 3 inapatikana milioni 100 iliyotoka kwa maskini na kwenda kwa tajiri.

Mimi sio mshabiki wa vyama ila naeleza ukweli wa ninayoyaona.
 

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
24,518
2,000
Mbowe katika zile bilioni nane ulizokwapua si umgawie kidogo huyu binti yaani unameza zote kwa mkupuo Kama unameza panadol hugawii wenzio
Mmmmm utapeli .Weka ushahidi wa kuwa alikuwa akimtafuta!!
Hapa umechapia

Alikuwa akimtafuta Kama Nani hawara au?
Umejibu kama vile watu wawili tofauti.

Hii inamaanisha una id ya kusifia na una id ya kuponda.
 

Bia yetu

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
6,925
2,000
Hapana Mkuu Huyu ni bavicha mtiifu sana

Viongozi wa Chadema waangalie hii dhambi wanayoifanya
Hamjaacha kuvika machangudoa yenu nguo za vyama ili kuchafua vyama pinzani!?

Onyesha kadi yake na ushahidi akiwa kwenye harakati za CHADEMA, sana sana muda si utaletewa picha akiwa kavaa uniform za ukada wa kijani hapa
 

Bia yetu

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
6,925
2,000
Huyu dada amejitoa mno kwa Chadema ila wamemtelekeza kabisa
Ndio mjue kwamba Chadema ni chama cha wahuni.
Akipata tatizo yule tajiri wanachangisha haraka haraka ndani ya siku 3 inapatikana milioni 100 iliyotoka kwa maskini na kwenda kwa tajiri.
Mimi sio mshabiki wa vyama ila naeleza ukweli wa ninayoyaona.
 

Flano

JF-Expert Member
Aug 7, 2019
717
1,000
Hamjaacha kuvika machangudoa yenu nguo za vyama ili kuchafua vyama pinzani!?

Onyesha kadi yake na ushahidi akiwa kwenye harakati za CHADEMA, sana sana muda si utaletewa picha akiwa kavaa uniform za ukada wa kijani hapa
Mkuu bora utukanane na huyo Bia yetu kuliko kumshambulia mgonjwa kwa maneno yasiyo na staha.
Matusi na kebehi za lumumba zisikufanye ukose busara na kuanza kumshambulia mgonjwa ambae kwa kipindi hiki apaswa kuhurumiwa pamoja na kutendewa wema.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom