Kwa hyo nimuache rafiki yangu apotee? Wakati naona jamani?
mwanzoni ulipomwona anapotee ukamsaidia ilikuwaje!!!
niliishia kutukanwa na kudharirishwa
ulishamweleza akakuona mbaya asijekuona unataka kuvuruga ndoa yake mwache ipo siku atayaona mwenyewe...bora lawama kuliko fedheha
Umeshajua hapendi kuambiwa so stay out of it.
niliishia kutukanwa na kudharirishwa
asante kwa ushauri ingawa naamini mara ya kwanza yule msichana ndo alimcomvic anione mbaya
ulijuaje ni msichana na sio huyo rafiki yako......hebu jiulize huyo rafiki yako atakuelewa vipi kwamba wewe ndio unajua tabia za GF/mke wake na sio rafiki zake wengine au kwamba unampenda sana mpaka unakuwa mpeleleze kutambua mambo za mke wake!! ulishajaribu mwanzo ukaambulia matusi na kejeli basi jiweke pembeni atakuja kupata ukweli kupitia wengine usije kuwa adui
Ndugu ! ulishapewa warning ,achana nae atakuona unamfuatilia maisha yake!
Mwanaume mbeya wewe.