Msaada: Hapa nimedisco au?

Msaada: Hapa nimedisco au?

Kijana nikutoe wasiwasi pia nasoma TIA na juzi system ilifungwa kwasababu watu walivyo sikia matokeo yanawekwa wakakimbilia kuchungulia account zao nadhan nawe ni mmoja wao.

Hapo kilicho tokea ni system kukutema na kuto endelea kujaza matokeo HUJADISCO weka akilini ilo Complaint form zinapatikana pale stationary kijana jaza mapema matokeo yako yapo Ila punguza kisabengo.

#walter
 
Screenshot_20220323-123510.png
 
Back
Top Bottom