Msaada hapa; CBG na course za afya?

Pure Scientific

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
716
Reaction score
644
Habari wakuu
Sijabahatika kukisoma kitabu kipya cha tcu ila kuna jambo linanitatiza wanasema vigezo vya kusoma afya uwe na afya sasa nje na lab tech,MD,pharmacy,nursing course zingine zipi za afya?

my phone is nokea ya jeneza(kidole juu)
 
Kisome upate uhakika mkuu.
Fuatilia mwenyewe halafu baadae ndio uje utafute ushauri juu ya yale utakayoyaona kwenye huo muongozo wa TCU
 
Karudie kuusoma huo uzi upya....naona hujauelewa vzr
 
Kisome upate uhakika mkuu.
Fuatilia mwenyewe halafu baadae ndio uje utafute ushauri juu ya yale utakayoyaona kwenye huo muongozo wa TCU
Kwani hauwezi nijibu mkuu

my phone is nokea ya jeneza(kidole juu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…