Msaada: Hali imekuwa tete, masomo yamezidi kuwa magumu

komaa mkuu discussion zihusike sana unaposhindwa kuelewa, tumepitia magumu hayo hayo na tumetoka
 
Soma sana zingatia muda na uifuate ratiba yako ipasavyo, kikubwa zaidi tengeneza ratiba ya kujisomea huku ukizipa vipaumbele courses ngumu zile rahisi usizisahau pia na cha msingi muombe sana Mungu akusaidie katika kuitekeleza na kuifuata ratiba yako ya kujisomoea mwenyewe na ile ya kufundishwa darasani. Utafaulu hakuna kitu kigumu kwenye hii Dunia ambacho binadamu anakifanya kwa nia.
 
Daa R.I.P,ingawa mtu simfahamu lkn huu msiba unaniuma saana km vile mtu aliekuwa karibu yangu.
 
Habari wakubwa.

Mimi ni kijana nina miaka 20 ninasoma diploma in clinical medicine.Tatizo ni kwamba tangu tumeanza semester 2 naona mambo yameniwia magumu aisee
masomo magumu mno halafu kuna session nyingi mno.

Karibia session zote ni balaa mfano anatomy,pathology,clinical skills,communicable. Kila nikisoma sielewi afadhali clinical lab ndio nalionea.

Natamani nihame course niende hata nursing au pharmacy.
Usishangae kua magumu maana masomo yako unayo soma hayaendani na kazi utakayo pangiwa kwani utakuja kua mlinzi wa makonda ktk ofisi yake ya
 
Magufuli sio wa kimchezo mchezo,anakaza kote kote ....Kama sekondary ulipata matokeo kwa akili zako basi basi clinical ni rahisi sana,kama form four ulidokelezea hapo ndipo unapojuta,komaa kijana elimu ya sasaivi hakuna kuchekeana kila mtu avune anachostaili kukipata
 
Back
Top Bottom