Ndio mawazo ya wengi wanafuata mshaharaHyu ninja aliisoma hyo kozi kwa sababu ya mshahara...
Usishangae kua magumu maana masomo yako unayo soma hayaendani na kazi utakayo pangiwa kwani utakuja kua mlinzi wa makonda ktk ofisi yake yaHabari wakubwa.
Mimi ni kijana nina miaka 20 ninasoma diploma in clinical medicine.Tatizo ni kwamba tangu tumeanza semester 2 naona mambo yameniwia magumu aisee
masomo magumu mno halafu kuna session nyingi mno.
Karibia session zote ni balaa mfano anatomy,pathology,clinical skills,communicable. Kila nikisoma sielewi afadhali clinical lab ndio nalionea.
Natamani nihame course niende hata nursing au pharmacy.
tobaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaComaaa ayo ya kawaida kijana mm nipo mwaka 2...clinical dentistry shayasoma ayooo communicable session 42 sio nyingi anato, na pathology mbn kawaida kaza takoooo
Mtu akifariki mnapata wapi taarifa,au mnafahamiana humu.rest in peace puppa
Kwani watu mnafahamiana hapa Jf.Daa R.I.P,ingawa mtu simfahamu lkn huu msiba unaniuma saana km vile mtu aliekuwa karibu yangu.
Nikweli tupo tunaofahamiana.Kwani watu mnafahamiana hapa Jf.
Ok,,kwahiyo huyu mwanajamii ni kweli amefariki au hayupo online tu.Nikweli tupo tunaofahamiana.
Amefariki na jukwaa la MMU kuna jamaa alileta tarifa ya msiba huo,akidai kuwa amefariki kwa kutereza bafuni.Ok,,kwahiyo huyu mwanajamii ni kweli amefariki au hayupo online tu.