sikiolakufa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 411
- 55
gari yangu gx 100 toyota cresta ina gonga gonga chini ikiwa kwenye rough road...fundi amefungua bush zote za kwenye matairi ni nzima je tatizo linaweza kuwa nini?
gari yangu gx 100 toyota cresta ina gonga gonga chini ikiwa kwenye rough road...fundi amefungua bush zote za kwenye matairi ni nzima je tatizo linaweza kuwa nini?
Unayo kwa muda gani? na kabla ya hapo umetumia aina gani ya gari?
NInayo kwa miaka miwili...haijachoka kabisa ni toleo la 2000....kabla ya hapo sikuwa na gari
Sijui kwa muda huo wa miaka miwili kama hukua na hali hiyo maana kwa gari ndogo huwa kuna mazingira hayo unapokua kwenye rough roads ukichukulia hizo si gari za shida/hazitaki barabara mbovu ndio maana nikauliza kabla ulikua na gari ipi, lakini kama hiyo ndo ya kwanza inawezekana ikawa haina shida, lakini pia sijui kama fundi amecheck suspensions/shockabsorbers.
Mwanzoni nilizani shock ups lakini fundi alicheck hazina shida kabisa na akaniambia ingekuwa ni tatizo la shock up zingekua zinagonga through out halaf kugonga kwenyewe ninako kuzungumzia unasikia sauti kite si kila mara wala si kwa pattern inayoeleweka je kule kwenye difu huwa kuna bush labda zimeisha? au ni nini sijui hii gari naipenda sana injini safiiii...ningependa hili tatizo liishe...
Ningekushauri usiogope gharama, peleka kwa garage za kiwango ili watafute tatizo na kulimaliza.
Mpigie huyu Jamaa 0715-381536 atakusaidia Mtaalam sana!!Ningekushauri usiogope gharama, peleka kwa garage za kiwango ili watafute tatizo na kulimaliza.
hamna noma mkuu asante ntampigiampigie huyu jamaa 0715-381536 atakusaidia mtaalam sana!!
Nashukuru mkuu...hivi pale victoria service station kama uko dar unaexperience gani napo?
.... Kama ulibadili tairi au check na alighnment ya Tairi ... zimekaza ... ziko vizuri ...???? to do with tires!gari yangu gx 100
toyota cresta ina gonga gonga chini ikiwa kwenye rough road...fundi
amefungua bush zote za kwenye matairi ni nzima je tatizo linaweza kuwa
nini?
Bei za kawaida unaweza ku specify mkuu...kwa mfano kwa tatizo kama hilo naweza toa ngapi?Mkuu peleka Toyota Nyerere road bei zao za kawaida.
.... Kama ulibadili tairi au check na alighnment ya Tairi ... zimekaza ... ziko vizuri ...???? to do with tires!
Shida hasa inaweza kuwa kwenye vitu hivyo. Nilikuwa na shida kama hiyo kwa Mark II Chaser. Nilipobadili tie rod ends liliisha. Contact this fundi, kama uko Dar, 0715 487 481,,otherwise acheki steering rack, na tie rod ends