LOGORIDDIM
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,624
- 1,202
Mimi natumia app ya kwenye simu inafanya kazi vizuri,via bluetooth kwa kuunganisha na Redio ya gari...
Tumia akili dogo.Ukishaiwasha ina connect na redio ya gari,then inakuonyesha ramani ya eneo ulipo,unachagua eneo unalotaka kwenda,itakuonyesha njia yote,then inaanza kukupa instruction kwa sauti kupitia speaker za gari kila hatua mapka unafika...
Kaka nunua kifaa and track on your own. achana na kampuni utageuka mteja
Daaah[emoji119][emoji119][emoji119]Tumia akili dogo.
Hapa wadau wanaongelea GPS Car Tracking. Yani kutrack gari endapo limeibiwa, au linaendeshwa na dereva mwingine.
Hawazungumzii GPS Navigation.
Vipi umeshapata kifaa cha GPS tracking?. karibu ISECURE TECHNOLOGY tukuhudumie. Tuko dar es salaam , lakini Dodoma kuna fundi wetu hapo +255 710 141 917Habari. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nataka kujua wanapotoa huduma hii Dodoma. Kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya hili anisaidie tafadhali
Natanguliza shukran zangu
Gharama zenu zikoje?Vipi umeshapata kifaa cha GPS tracking?. karibu ISECURE TECHNOLOGY tukuhudumie. Tuko dar es salaam , lakini Dodoma kuna fundi wetu hapo +255 710 141 917
gharama ni 150,000. halafu baada ya mwaka mmoja unatakiwa kulipia 20,000 kwa mwakaGharama zenu zikoje?
Kwa 100,000/= mnaweza kunifanyia service?gharama ni 150,000. halafu baada ya mwaka mmoja unatakiwa kulipia 20,000 kwa mwaka