Msaada google ads

Msaada google ads

Investaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
913
Reaction score
923
Habari wataalam wa IT, msaada jamaan nimeweka ads kwenye website lakin inaonesha blank. Sijui nini tatizo
 
Ndo Mpya? Namaanisha Ni mpya hiyo ads acc? Kama sio mpya bas hiyo website itakuwa hai support ads ila kama ni mpya iko kwenye review baada ya muda yataonekana
 
Ni mpya kaka
 
Back
Top Bottom