Msaada Github

Msaada Github

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,337
Reaction score
9,079
Yaani mimi ninajifunza web design sasa nimekutana na app ya github ila sijui matumiz yake ila nasikia ni muhimu kwa maprogrammer naomba mnijuze vyote kuhusu github na nn nahitaji kujifunza kuweza kucode forum web App.

Ahsant

Sent from my TECNO BC2 using JamiiForums mobile app
 
Ningekusauri kwanza upitie mojawapo wa video nyingi zilizopo kuhusu Github na tutorials nyingi tu zipo, kisha uje uulize kuhusu kitu usichokielewa humo, ila kusubiri mtu aje aandike nadharia yote kuhusu Github hapa naona itakua mtihani.
Kwa kifupi tia jitihada kisha uombe wenzako wakuongeze....
 
Github ni code hosting platform tu inayotumia git version control system. Fikiria github kma Google drive inayohifadhi code files zako. Unakua na repositories ambapo ndio unaweka projects file zako. Uzuri wa kutumia git control system ni kwamba unaweza track changes unazofanya na hata kurevert kma kuna sehem ulikosea ukasababisha matatzo.

Huwezi elewa github na git control system kwa post moja tu ya jf, nakushauri uangalie hii video: huku ukiendelea kupractice jinsi ya kutumia Github kwenye command line interface kabla hujarukia hyo desktop app.
 
Anza kwanza kujifunza Git version control
Then itakuwa rahisi kuelewa hizo SCM sites. Kuna github, gitlab, bitbucket na zingine nyingi!
 
Watu wa JamiiForums bhana...kuzungumziana tuu hamjambo. Kama mtu una nia au unajua kuhusu kitu fulani sidhani kama kuandika ili mtu walau apate idea ni ishu kubwa. Tusiojuaga ndo tunakuwaga na maneno kama haya ya kukatisha tamaa. TUBADILIKE
 
Github ni code hosting platform tu inayotumia git version control system. Fikiria github kma Google drive inayohifadhi code files zako. Unakua na repositories ambapo ndio unaweka projects file zako. Uzuri wa kutumia git control system ni kwamba unaweza track changes unazofanya na hata kurevert kma kuna sehem ulikosea ukasababisha matatzo.

Huwezi elewa github na git control system kwa post moja tu ya jf, nakushauri uangalie hii video: huku ukiendelea kupractice jinsi ya kutumia Github kwenye command line interface kabla hujarukia hyo desktop app.
Mbona huyu ameandika...mtihani upo wapi hapo. Tuache choyo. Kama hujui bora uvunge ukaview status WhatsApp
 
GitHub ni platform inayotoa huduma ya kitu kinaitwa Code Versioning Control system (CVS).

Hii inawezesha either wewe binafsi au na timu ya maprogrammers kufanya kazi kwa kushirikiana kwenye project moja huku ikiwa inatunza kila mabadiliko yanayofanyika.

CVS itakua inaweka kumbukumbu zote za lini, muda gani, nani alibadilisha nini kwenye file gani la project husika. Ni muhimu sana kwenye mazingira ya ushirikiano, na pia ku track changes na ikiwezekana utaweza ku roll back in case changes zilizofanyika ni mbovu.

Ikiwa una project ungependa upate watu wakusaidie, unaweza kuiweka kwenye github, programmers huwa wanapitia nakuangakulia project zinazowavutia, then wanaweza kuchangia coding na kuifanya project yako ikawa nzuri zaidi...

Like wise unaweza ukapata projects nyingi ambazo ni free, maana ni platform ambayo baadhi huitumia ku share codes na projects unazoweza kuzitumia kwa matumizi yako binafsi...
 
Naona wadau wamekujibu swali lako moja kuhusu Github na kusahau swali lako la pili kuhusu unahitaji kufahamu nini ili "Ku code forum web app"

Web application kama "Forum" ni complex kiasi na inahitaji "solid understanding" ya technologies kadhaa za "Web programming"

Ngoja nijitahidi kulijibu hili swali kwa lugha rahisi

Unahitaji "Database",hii ni program Maalum kwa ajiri ya kuhifadhi taarifa au data za forum yako
" Iwe majina ya members,emails,passwords,messages,threads,likes etc)

So unahitaji uwe na uelewa kidogo wa Databases na SQL
(SQL ni lugha ya computer inayowezesha web application yako kuzungumza na Database)

Kuna aina nyingi za Database systems kama Mysql,MongoDB,SQLlite...

Point: Jifunze SQL

Part ya pili ni backend
Hii ndiyo part inayohusika na "core logic" ya web application yako
Jinsi gani una rank threads, rank members,una handle vipi errors,members or guests....how forums yako ina behave yote hii ni kazi ya backend

Hapa unahitaji Server side Programming language kama PHP,Python,JavaScript etc

Point:Soma PHP , Python au JavaScript

Part ya mwisho ni Frontend,part ya web application ambayo "end user" ana Iona na Ku interact nayo

Hapa soma CSS, JavaScript na HTML
 
Watu wa JamiiForums bhana...kuzungumziana tuu hamjambo. Kama mtu una nia au unajua kuhusu kitu fulani sidhani kama kuandika ili mtu walau apate idea ni ishu kubwa. Tusiojuaga ndo tunakuwaga na maneno kama haya ya kukatisha tamaa. TUBADILIKE
Kuna mtu analipwa kujibu maswali humu?
Nimepitia zaidi ya mara tatu na sioni shida kwenye reply zote hapo. Na haujanukuu yenye shida.

Anyway badala ya kulalama ungefanya vyema kujibu swali lililoulizwa!
 
Kweli na kuhusisha jibu la swali hili, pia github anaweza kapata projects za web forum kwa zenye kutumia mysql na php, tena ataona na soutce codes zake kwa ajili ya kujifunza zaidi.

Back
Top Bottom