Shabdullah
Member
- Feb 17, 2020
- 65
- 52
Habari wadau.
Twende kwenye mada.
Nataka kuanza kufatilia visa ya kuingi U.S.A, je gharama yake ni bei gani. Na gkama kuna anaejua gharama inatokana na nini na nini. Ili nipate total cost hadi nakamilisha kila kitu kihusucho viza. .
Pia ningependa kujua vitu gani visikosekane kwenye kuomba viza, na ni vitu gani vinaweza kunikosesha viza.
Natanguliza shukrani. Nisaidieni majibu