Kashapata mwenyejilaki nne mkuu,pia usiseme kwa fuso,sema lorry au gari ya mizigo,ukisema fuso ina maana mtu mwenye ISUZU FORWARD au SCANIA hawezi kukupakilia huo mzigo?nenda jangwani kawacheki wadau,ila nauli yake wasikudanganye,huwa laki nne kushuka chini,wasikuzidishie mkuu...karibu DODOMA.
Safari njema na makazi mema ndugu, karibu tena daslamNANIWASHUKURU SANA WANAJAMIIFORUMS WENZANGU KWA SUPPORT MLIYONIPA. MPAKA SASA TAYARI NIMESHA FANIKIWA KUMPATA DEREVA,MUNGU AKIPENDA KESHO KUTWA NINAANZA SAFARI KUELEKEA MAKAO MAKUU YA NCHI.
SINA CHAKUWALIPA ZAIDI YA NENO MOJA TU AMBALO NI AHSANTENI.
Jamani si uniache hiyo nyumba uliyokuwa unaishi hapo DarNANIWASHUKURU SANA WANAJAMIIFORUMS WENZANGU KWA SUPPORT MLIYONIPA. MPAKA SASA TAYARI NIMESHA FANIKIWA KUMPATA DEREVA,MUNGU AKIPENDA KESHO KUTWA NINAANZA SAFARI KUELEKEA MAKAO MAKUU YA NCHI.
SINA CHAKUWALIPA ZAIDI YA NENO MOJA TU AMBALO NI AHSANTENI.
Kila la kheri mkuu, kuhusu msaada hapa ndo kwao. nawapenda Sana wana jf huwa si wachoyo. Jf Idumu milele.Ikifika muda na mimi nitahitaji kuhama na vitu vyangu, kitanda, godoro, meza na zagazaga za jikoni, ingawa sijajua mkoa bado coz nasubiri post za ajira mpya za ualimu, ingawa nimeanzisha maisha kwa kashule flani hvi hapa dar, so nitahitaji msaada wenu namna ya usafiri.
Hahaha jfmkuu ukifika mlandizi paki kidgo
nina ki fridge changu unisaidie basi
Aisee karibu sana kikuyu IMAGEMajiarani mpooo?
Mimi nimesafirisha juzi kati kwa shilingi laki tatu na nusu ila sikuwa na vitu vingi sana from Dsm to Dom. Magari ya bei hizi za laki nne si ya kukodi bali ni malori ya yaliyoleta mzigo dar sasa yanatafuta mzigo wa kurudi nao, so yanapakia vitu vya watu tofauti tofauti kwenye gari moja. Kama vipi mdau nifuate inbox nikupe namba ya jamaa anapatikana pale jangwani atakusaidia kukutafutia lori na kukupakilishia mzigo wako kwa bei nafuu.Ahsante Sana Mkuu. Kweli jf ni mwisho wa matatizo, nitaitetea daima. Pamoja mkuu
Duh.....Umechelewa kidogo mkuu, laiti ungeniambia mapema ningekuachia maana bado Kuna kodi ya miezi minne.
Tupe price range mkuuMkuu ofisi za posta upande wa Posta Cargo wanasafirisha mizigo mikoan na kuhamisha watu kwa bei rahis sana. Tena wanaifuata kwako kabisa