Msaada gereji nzuri Gairo

Msaada gereji nzuri Gairo

IFRS

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2014
Posts
2,920
Reaction score
5,267
Wadau nimeharibikiwa na gari nikiwa natoka Dodoma kwenda DSM na imeniharibikia gairo.gari limekataa kubadilisha gia nadhani gear imesumbua.
Je naweza kupata fundi mzuri gereji ipi.?
 
manual or auto?
 
uliza kijana yeyote akupeleke kwa SALEH SHABYBY. NI.FUNDI HASA ATAKUSAIDIA.
 
Umeiua wewe? Acha kukurupuka
sijakurupuka utaalam ndiyo umenifanya nimpe jibu Bila kupindisha ufundi Hauna siasa. sasa unadhani kwenye gearbox ya automatic Kwa kesi hiyo utafanya nini zaidi ya kureplace gearbox?. toa maoni lkn sio lugha ya kuudhi
 
Automatic transmission ya gari aina gani yani Model pili Year of Manufacture 2000-2005
Kitu Kama hicho jingine Automatic transmission ya Kawaida na ya umeme Yani Electronic
Transmission hii hutumia electronics selonoid ili kujua inamatatizo gani lazima utumie Computer
Kitaalam Diagnositic Tool ( Scanner) au Diagnositic Cumputer Sasa mimi ninao uwezo wakuku
Saidia lakini nipo Dar ukitaka Masada zaidi nijulishe kupitia jamii Forum hata Kama utapata fundi
Lakini hajuii vizuri fani ya Automatic Transmission na weza kumpatia maelekezo kupitia
E Mail yako au yake huna sababu ya kufadhaika
Asante Haji Radhid
Mechantronic Guru
 
Agiza gear box nyingine toka Dar. At least kazi ya fundi iwe kubadilisha tu. Gari aina gani hiyo?
 
Wadau nimeharibikiwa na gari nikiwa natoka Dodoma kwenda DSM na imeniharibikia gairo.gari limekataa kubadilisha gia nadhani gear imesumbua.
Je naweza kupata fundi mzuri gereji ipi.?

Angalia gearbox oil kwanza kama imepungua sana gari haitakuwa na uwezo wa kubadili gear

Kuna service ya gearbox kama hujaifanya tafuta funding hapo gairo ulizia petrol station ya Shabiby iko hapo stand opposite na Nike bar n guest house, muulizie mtu anaitwa Nassoro utasaidika

Nb: kama tatizo ni kubwa badili gearbox yote! Maelezo yangu yamelenga kwenye automatic gearbox
 
Wakati natoka Dodoma nilifanya service ikiwa pamoja na kubadailisha hydraulic oil ya bp no kuweka mpya.na baada ya kuzingua nimejaribu kupima naona ipo level haijavuja.
 
Ni gari gani hiyo I mean model na mwaka wa kutengenezwa?
 
Automatic transmission ya gari aina gani yani Model pili Year of Manufacture 2000-2005
Kitu Kama hicho jingine Automatic transmission ya Kawaida na ya umeme Yani Electronic
Transmission hii hutumia electronics selonoid ili kujua inamatatizo gani lazima utumie Computer
Kitaalam Diagnositic Tool ( Scanner) au Diagnositic Cumputer Sasa mimi ninao uwezo wakuku
Saidia lakini nipo Dar ukitaka Masada zaidi nijulishe kupitia jamii Forum hata Kama utapata fundi
Lakini hajuii vizuri fani ya Automatic Transmission na weza kumpatia maelekezo kupitia
E Mail yako au yake huna sababu ya kufadhaika
Asante Haji Radhid
Mechantronic Guru

Nitakutafuta lakini kwa umbali huu inabidi nibadilishe nyingine tu.
Nitakutafuta unitengenezee hii iliyoharibika
 
Nashauri JF watuwekee sehemu maalum ya magari na ufundi wake!
 
Back
Top Bottom