Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

Mimi lilinitokea hilo,walianza na ban ya dk 10,,wakaja ya masaa 2,3,7wakaona haitoshi wakaja na ya masaa 20,,hawakukoma wakarukia ya saa 24 huku nikisindikizwa na vitisho vya kupewa life ban looh,,nikaona isiwe tabu nikafutilia mbali
mkuu nimecheka Sana aisee
Jamaa naona wako serious aisee
 
Tatizo dogo ilo unistall iyo what's app iliobaniwa then udownload nyingine
 
Bora mnatumia ma whatsapp ya hivyo kwa kazi gani sasa kama sio kuficha uovu tuh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom