inakupa ujumbe gani??ndo hyo nlokuwa najaribu kudonload mkuu, inanigomea, cjui nfanyaje.
Umeinstall torrent clients kwa pc yako?
Ili kudownload torrents unahitajika kudownload na kuinstall torrent clients kama utorrent, then unapofungua torents site na kubofya download, torrent client inadaka na kuanza kushusha mzigo
Wewe unakwama wapi haswa?
Kama pengine huna bundle ya kutosha kudownload haya mavitu ongea vizuri tu na wadau humu, mtakutana na watakupa magemu hadi ukose pa kuyaweka
Google winrar then uinstall hiyo soft afu uextract file la hiyo game yako kwa kutumia winrar
Msaada jinsi ya kuinstall fifa 12 kwenye pc kutoka uttorent nimedownload kila kitu ambacho game hii inataka kama vile powerIso winralzip,lakin kila nkitaka kuinstall inaniambia inataka next disc!! Computer yangu ni hp natumia windows7 professiona 32 bit, Naombeni ushaul kwa wataalamu wa mambo haya
Hapo kutakua kuna iso zaidi ya moja.
Mount iso ya kwanza then install ikiwambia next cd mount iso ya pili itaendelea kuinstall, ikisema tena next cd mount iso ya tatu. Endelea hivyo hadi mwisho litaingia
Inawezekana umedownload parts ya hilo game so wahitajika kupakua kipande kilichobaki
Kabla cjadownload nliangalia video moja youtube iliyonielekeza jinsi ya kuinstall! Ukitumia torrent kudownload fifa 12 inaonesha ina GB6.79 arafu. Kunakuwa na part tatu!!!na mimi. Nimedownload zote complete nika extract zikaja setup zake kila nkijaribu kuinstall inaniambia next disk cjajua tatizo liko wap!!!
Hauna uwelewa wa torrentso simple kutumia ni kama kucopy na kupaste...Unataka GTA gani kama ni GTA V Pc yako haiwezi kurun Hilo game hata Fifa 15..1GB Ram ongeza mpaka 4Gb mkuu lakini hapo bado Kwa GTA V weka 8Gb na 3.6-4Ghz + 65GB Freejamani naomba mnipe msaada wa namna ya kudownload games haswa GTA na FIFA, nimejaribu kwa torrent nimeshndwa, natumia window xp, 2.99 processor, 1gb ram
au kama kuna msamalia mwema anaweza kunipatia hzo game aniambie nimfate kokote jamani.
Help me wandugu.
Pirates Forever Kila kitu ndugu but kuwa mwangalifu some torrent zina virus,TrojanNaweza kuipata game ya WAR THUNDER kweny torrent?
Pirates Forever Kila kitu ndugu but kuwa mwangalifu some torrent zina virus,Trojan