Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,495
Mara nyingi huwa ina stuck. Nikibonyeza power button huwa inazima na haiwaki tena. Ni mpaka ni-press 'power button' na 'volume up' keys kwa pamoja ili ni-reboot. Hii hutokea hasa ninapokuwa kwenye Whatsapp. Mara nyingine screen huwa ina-flick tu. Sometimes huitumii lakini unakuta ime-overheat. Kama kuna mwenye msaada naomba anisaidie kutatua haya matatizo.