Habari wadau,
Nahitaji msaada kutoka kwenu wadau. Mimi nishazoea iphone na android si mambo yangu kabisa mana sijaipenda. Sasa juz kati nikaona wacha nijaribu kutumia android, na flagship katika android ni samsung. Nikaamua kuchukua note 5 mana nimeioenda the look. Ni 2 days tangu niinunue na sasa nimeanza kuichoka. Nilifikiri nineuziwa feki lakini ni original mana nimedownload app moja ivi kutoka playstore kuthibitisha imenambia from samsung wenyewe, pia nimetumia imei.info kucheki imei imeonesha ni from samsung kabisa. Kwaio nikajiridhisha. Nimecheki canera quality iki bomba kabisa sound na mengine.
Sasa ishu imeanza wakati nataka kutumia internet. Nineweka settings za halotel fresh apo apo mnara ukapanda. Mi najua halotel hawana 4g lakini kwenye network bars inaonesha 4g, nkajua labda wanayo lakini haikuwa ikipanda kwenye iphine yangu. Ili nisimalize chaji nkaona nichange kwenda 3g only, nikaingia settings nikabadilisha, network ikajieka sawa, lakini cha kushangaza bado inasoma 4g, nikachange kueeka 2g only lakini still network inakaa 4g!!!! Ninejaribu kuchokinoa naona hamna kitu. Ipo 4g tu hata kama uki disable 4g inakaa 4g!
Jengine nkapata shida kuwasha hotspot, kila nikiiwasha haiwaki, klnimezima cmu nkajaribu haiwaki hotspot, mpaka nimefanya factory reset ndio naona inekubali lakini huyo 4g bado anakaa yeye tu
Msaada wenu tafadhalini nawaomba