Poa mkuu noted...ila nilikuwa natumia S.Galaxy 4' baada ya kupata hii Note 4 ndipo nikaiuza ingali mbichi kabisa. Ila kupitia thread hii ya leo kuna kitu nimejifunza
Hii naijuwa na nimeshaifanya...shida yangu nikitaka pale ninapotumia kuandikia S Pen basi yale maandishi yaende vile vile kwa mtu ambae namtumia sms...ila kupitia thread hii nimejuwa kuwa haiwezekani