Wanajanvi natafuta fundi mzuri sana wa subwoofer za magari. Naogopa hawa wa vijiweni. Kwa mwenye kufahamu fundi mzuri hapa DAR naomba anipe jina la eneo na mtaa au ani PM namba yake ya simu.

0716145053 SHAHIB yupo Mivinjeni Kurasini karibu na Roundabout ya Bandari. Huyu ni kiboko, kwa Mwezi anasafir. Mkoani hadi Mara tatu kwa shughuli hizi hizi za Car-Music. Anauwezo wa kufunga hadi Booster Mbili.