Msaada FUNDI Maarufu SUBWOOFER za Gari DAR

Msaada FUNDI Maarufu SUBWOOFER za Gari DAR

mzm

Member
Joined
Jul 17, 2012
Posts
34
Reaction score
11
Wanajanvi natafuta fundi mzuri sana wa subwoofer za magari. Naogopa hawa wa vijiweni. Kwa mwenye kufahamu fundi mzuri hapa DAR naomba anipe jina la eneo na mtaa au ani PM namba yake ya simu.
 
Wanajanvi natafuta fundi mzuri sana wa subwoofer za magari. Naogopa hawa wa vijiweni. Kwa mwenye kufahamu fundi mzuri hapa DAR naomba anipe jina la eneo na mtaa au ani PM namba yake ya simu.

0765261333 yupo lumumba anaitwa Sam
 
0716145053 SHAHIB yupo Mivinjeni Kurasini karibu na Roundabout ya Bandari. Huyu ni kiboko, kwa Mwezi anasafir. Mkoani hadi Mara tatu kwa shughuli hizi hizi za Car-Music. Anauwezo wa kufunga hadi Booster Mbili.
 
Au nenda kinondoni opposite na hunters club kuna fundi wazur
 
Back
Top Bottom