Msaada: Fund Proposal for College Fee

Mkuu sikulaumu,hujatembea duniani ukaona,ujasiriamali unaoujua wewe ni wa kufuga kuku,kutengeneza sabuni,tie and die n.k ndio mana unahara bila ustaarabu.

Unamawazo madogo sana thats y hutaelewa. Aliyekuambia utasoma ufugaji wa kuku kama ujasiriamali nani? Unajua kwanza maana ya ujasiriamali? Soma prospectus za vyuo ndio ujue nini kinafundishwa. Ukiwa na knowledge kidogo tuu ya ujasiriamali itakusaidia
 
Mtoa mada anataka kuzamia nje kubeba boksi,usituone watoto umu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…