Naam, watalaaam. Kabla sijakitupa naomba ushauri kama kinatengenezeka, Nikiwasha tu kina reobot mara kwa mara na mara nyingine hata nikiweka power hakiwaki, naomba msaada wa kifund. Kikikubari kama kwa dak 5 hivi picha ianaleta halafu kinazima tena
Pole mkuu hiyo ndani ina ic inaitwa flash memory ndio shida au kama itakua inatumia nand flash tatizo litakua ndio hiyo inabidi utafute fundi akuangalizie haswa ni kipi pia hizo ndio hua wakati mwingine inafanya zingine zina staki kweye logo wakati wa kuboot pamoja na hiyo restart