Msaada: FreeNet VPN ya ku-connect via Vodacom network

Msaada: FreeNet VPN ya ku-connect via Vodacom network

Mwenye kufahamu free VPN ya internet ambayo inaconnect vyema kupitia mtandao wa vodacom anisaidie kunijuza.

Itapendeza kama speed yake itakuwa ni kubwa bila kusahau band width yake

Msaada tafadhari!

Wiretun haikubali, ThorVPN haiunganishi kabisa, HA Tunnel ndo siielewi kabisa

Nasubiri.
Vijana wa mwaka 2000 mna matatizo sana mnatafuta irahisi then mna ropoka ropoka hivi. Ok kama wahitaji jipange ipo inakasi mpaka 10mbps ila nauza .
 
Back
Top Bottom