Hio 25% aliokupa ni kubwa sana ila sikushauri kuekeza bila kufanya utafiti wa kina juu ya company yake. Kwenye cryptocurrency na stock market $3,500 kama mzoefu unaweza kuifanya $10,000 au zaidi ya hapo. Leo kuna stock ya RHE Friday ilikuwa $1.08 leo inatembea na $3.
Njoo PM mkuuu....I am the best tader. Na kwawanaohitaji account management mnakaribishwa. Unadeposit kuanzia dola 200 kwa mwezi nakupa 25% of investment