Srebrina
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 963
- 437
naombeni mnaofahamu hili tatizo nilikuwa nyumbani shinyanga naitumia kuifadhia mafaili ya shule na mambo mengine mengi sasa leo nikiichomeka inaniambia niiformat niki cancel inagoma kusoma kwakuwa nina knowledge kidogo na mambo ya IT nimegundua kuna format ambayo sijawai kuiona namaanisha kwamba ili HDD iweze kusoma window nilazima ifomatiwe kwa NTFS sasa na hdd zingine unaweza ukuzi format kwa dizaini nyingine sasa kitu kipya ni kwamba flash yangu inasoma kama RAW angalieni picha hapo chiniaombeni msaada wenu