Msaada: Flash inaonesha kipicha kidogo kwenye TV

Msaada: Flash inaonesha kipicha kidogo kwenye TV

mikumiyetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
1,312
Reaction score
947
Habari za jioni wakuu,nahitaji msaada wa kimawazo hapa nikichomeka flash kwenye tv yangu uwa inaonyesha kapicha kadogo sio full screen hii inatokana na nini,aina ya tv ni singsung
 
kuna mode za kuonesha picha,

-original hii ina maana video itaoneshwa kwa uhalisia wake, kama ni resolution ndogo basi itaonekana ndogo nafkiri pia ndio case yako.
-fullscreen, hii haijalishi ukubwa wa picha upoje itaonesha full screen muda wote.
-mode 1, 2, 3 etc hizi unaweza ukaidouble, kustretch video etc

bonyeza remote yako ukiwa unaangalia video kile ki button cha katikati utaletewa option za kupeleka mbele, kurudisha nyuma, ku stop etc hapo kwenye hio panel jaribu kuangalia picture mode ili uieke full screen.

alternative angalia kwenye remote yako kama kuna sehemu ya kubadilishia hizo mode.
 
Mkuu tatizo sio resolution,cheki mfano hapa kwenye picha
a8c6ef8514a6f22b69c77f6a674a2bb4.jpg
 
Asante mkuu nimepata,nibonyeza kwenye play hapa kwenye rimoti imekuja picha kubwa
8387dd27396b0489a366d987d128155b.jpg
eefe0e5bfc6fdc7e211c5f65c54ce2dc.jpg
 
Mkuu tatizo sio resolution,cheki mfano hapa kwenye picha
a8c6ef8514a6f22b69c77f6a674a2bb4.jpg

hapo imeandikwa 640x360 na tv flat ya kawaida ni 1280x720, jaribu kuplay video ya 720p.

pia angalia kwenye remote kama kuna sehemu ya kuenda full screen.
 
hio button nyekundu na kijani ni za nini? naona kama alama yake ni fullscreen zitest
Hizo zimekubali,lakin ni baada ya kubonya kwenye button iyo iliyoandikwa play nimebonya imekuja picha kubwa,asante kwa ushirikiano wako
 
Back
Top Bottom