Ok ni simple kwenye pc yako install app inaitwa dr fone au unaweza google apps zipo za aina nyingi zinazofanya recovery ya data kisha connect android yako kwenye pc kwa kutumia usb cable kisha nenda kwenye developer option ndani ya android yako kisha ruhusu usb debugging kisha fanya recovery utaipata kuanzia miziki ,videos,picha na sms ulizofuta hadi namba za simu zilizofutika au kufuta so utachagua cha kurudisha