Nina file za excel zipo kwenye folder moja,nikijaribu kufungua zinaleta ujumbe huu kama inavyoonesha kwenye hii picha, naombeni msaada wenu maana nimejaribu kila namna ngoma imegoma.
ukiingia kwenye excel halafu ukaclick open then ukalocate hilo file je linafunguka? sometime explorer haijaambiwa kama hilo file ni la excel pengine imelipeleka kwenye program nyengine