Msaada facebook

Msaada facebook

Averos

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2010
Posts
994
Reaction score
703
Jamaa yangu mmoja amekosea kujaza info yake katika facebook, ametaka nimsaidie kuiweka sawa, nimemwambia anipe password kanipa, email, anasema yy anatumia namba ya simu hatumii email, sasa kwenye computer yangu sioni hiyo option ya kuingiza namba ya simu, nafanyeje kupata access ya acount yake?
 
Kwani umeshajaribu kulog in kwa hiyo hiyo namba badala ya email ikakataa?
 
kwenye email ingiza izo namba za cmu kwa kuanza na +255
 
Kaka hizi hoja zako zinatia mashaka, kwa nini huyo jamaa yako asirekebishe mwenyewe tu? Njia rahisi ni kwamba ameshakupa Password sasa mwambie akupe na simu yake.
 
Nasubiri majibu kutoka kwako ukifanya kama ulivyoshauriwa ili nitoe suggestion nyingine ikiwa hujafaulu.
 
Jamaa yangu mmoja amekosea kujaza info yake katika facebook, ametaka nimsaidie kuiweka sawa, nimemwambia anipe password kanipa, email, anasema yy anatumia namba ya simu hatumii email, sasa kwenye computer yangu sioni hiyo option ya kuingiza namba ya simu, nafanyeje kupata access ya acount yake?

hahahha na wewe tafuta mtu akusaidie kama jamaaaa alivyofanya. kam uko tayari nipe hiyo password na detail nirekebishe.

Huyo jamaa atakuwa kakosea kabisa kukupa wewe huna msaada.
 
Jahazi la Vipofu...! Mwenye jicho moja hupewa unahodha.
 
Mkuu nahisi upo kwenye process ya ku hack..hebu kuwa tu muwazi hapa.
 
Tumia simu ku 'log in' ndio utapata option ya kutumia namba ya simu.
 
kwa kutumia kompyuta yako ingia m.facebook.com badala ya facebook.com ikikataa search google facebook mobile version then click result yenye kialama cha simu kwa mbele, ikikataa tena muone majimarefu ikiwa nae hajui nenda loliondoooo kwa babu
 
Back
Top Bottom