K kakamgeni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2018 Posts 241 Reaction score 201 Feb 12, 2021 #1 Nimejitaidi Kucheki Tutorials YouTube Za Kila Aina Ila Bilabila, Simu Yenye Ni Tecno Canon 11, Nime-clear Data Na Cache Kwenye Play store Na Playstore Service Lakini Inakataa Kuinstall Facebook Peke Take, Apps Zengine Zinakubali
Nimejitaidi Kucheki Tutorials YouTube Za Kila Aina Ila Bilabila, Simu Yenye Ni Tecno Canon 11, Nime-clear Data Na Cache Kwenye Play store Na Playstore Service Lakini Inakataa Kuinstall Facebook Peke Take, Apps Zengine Zinakubali
johnhance JF-Expert Member Joined Jul 9, 2016 Posts 1,768 Reaction score 2,135 Feb 12, 2021 #2 kakamgeni said: Tecno Click to expand... hili ndio tatizo
K kakamgeni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2018 Posts 241 Reaction score 201 Feb 12, 2021 Thread starter #3 johnhance said: hili ndio tatizo Click to expand... Tatizo Liko Wapi Wakati Inatumia OS Za Androids Kama Simu Nyingine?
johnhance said: hili ndio tatizo Click to expand... Tatizo Liko Wapi Wakati Inatumia OS Za Androids Kama Simu Nyingine?
Izy_Name JF-Expert Member Joined Apr 9, 2020 Posts 1,061 Reaction score 2,556 Feb 14, 2021 #4 nawewe mafacebook ya nin ndugu?