soma vizuri hayo maelekezo nadhani itakuwa hivi 'go to facebook.com on your computer' kwa hyo unatakiwa kulog in kwenye computer then ufuate procedure watakazokupa, hii hutokana na kulog in ktk device tofaut ambayo haija be recognized au kusend friend request kwa mtu usiyemjua then akakuripoti au kusend frnd rqst nyingi kwa wakati mmoja