Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
wadau naomba msaada wenu, nina hard disk ya laptop ninayoitumia kama external hard disk drive ambayo ina kila kitu changu (250 gb full):A S-confused1:. imenishtua inapogoma kufunguka japo kwenye tool bar inapop kuwa iko already installed and ready to use lakini nikifungua my computer haionekani, nimejaribu kwa computer zaidi ya moja zenye windows 7 na ubuntu bila mafanikio. naombeni msaada nifanyeje ili niweze kuokoa data zangu. Asanteni
wakati gani inaleta hiyo message!?? ukiwa online au offline....inawezekana ni virus tu mkuu........jamani ...! computer yangu ina niletea meseji inayo sema (your computer is hacked) ...nifanyeje...!